1 Wakorintho 16:2
1 Wakorintho 16:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila Jumapili kila mmoja wenu atenge kiasi cha fedha kadiri ya mapato yake, ili kusiwe na haja ya kufanya mchango wakati nitakapokuja.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 161 Wakorintho 16:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku ya kwanza ya juma kila mmoja wenu na aweke akiba kwake, kwa kadiri ya kufanikiwa kwake; ili kwamba michango isifanyike hapo nitakapokuja
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 16