1 Wakorintho 13:7-8
1 Wakorintho 13:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenye upendo huvumilia yote, huamini yote, na hustahimili yote. Upendo hauna kikomo kamwe. Kama kuna vipaji vya kutangaza ujumbe wa Mungu, hivyo vitatoweka siku moja; kama ni vipaji vya kusema lugha ngeni, vitakoma; kama kuna elimu, nayo itapita.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wowote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 131 Wakorintho 13:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Shirikisha
Soma 1 Wakorintho 13