Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 91:9-10

Zaburi 91:9-10 BHN

Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako. Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.

Soma Zaburi 91

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 91:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha