Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 24:12-13

Mathayo 24:12-13 BHN

Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa.