Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 4:25-26

Yohane 4:25-26 BHN

Huyo mama akamwambia, “Najua kwamba Masiha, aitwaye Kristo, anakuja. Atakapokuja atatujulisha kila kitu.” Yesu akamwambia, “Mimi ninayeongea nawe, ndiye.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 4:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha