Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 5:17

Wagalatia 5:17 BHN

Maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya Roho hupingana na tamaa za kidunia. Mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka nyinyi wenyewe.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 5:17