Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 30:6

Kumbukumbu la Sheria 30:6 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanyeni nyinyi na wazawa wenu muwe na moyo wa utii ili mumpende yeye kwa moyo wenu wote na roho yenu yote, mpate kuishi.