Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 30:17-18

Kumbukumbu la Sheria 30:17-18 BHN

Lakini mkipotoshwa na kukataa kumsikiliza, mkavutwa kuabudu miungu mingine na kuitumikia, mimi nawatangazieni leo hii kwamba mtaangamia. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi mnayokwenda kuimiliki, ngambo ya mto wa Yordani.