Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 1:20

Maombolezo 1:20 BHND

“Ona, ee Mwenyezi-Mungu nilivyo taabuni. Roho yangu imechafuka, moyo wangu unasononeka kwani nimekuasi vibaya. Huko nje kumejaa mauaji, ndani nako ni kama kifo tu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 1:20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha