Maombolezo 1:20
Maombolezo 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ona, ee Mwenyezi-Mungu nilivyo taabuni. Roho yangu imechafuka, moyo wangu unasononeka kwani nimekuasi vibaya. Huko nje kumejaa mauaji, ndani nako ni kama kifo tu.
Shirikisha
Soma Maombolezo 1Maombolezo 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalia, Ee BWANA; maana mimi ni katika dhiki; Mtima wangu umetaabika; Moyo wangu umegeuka ndani yangu; Maana nimeasi vibaya sana; Huko nje upanga huua watu; Nyumbani mna kama mauti.
Shirikisha
Soma Maombolezo 1