Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maombolezo 1:1

Maombolezo 1:1 BHND

Ajabu mji uliokuwa umejaa watu, sasa wenyewe umebaki tupu! Ulikuwa maarufu kati ya mataifa; sasa umekuwa kama mama mjane. Miongoni mwa miji ulikuwa kama binti mfalme; sasa umekuwa mtumwa wa wengine.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Maombolezo 1:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha