Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waroma 3:10-12

Waroma 3:10-12 SRB37

kama ilivyoandikwa: Hakuna aliye mwongofu hata mmoja. Hakuna aliye mwenye akili, hakuna anayemtafuta Mungu. Wote pamoja wamepotelewa na njia, wote ni waovu. Hakuna anayefanya mema, hakuna hata mmoja.

Soma Waroma 3

Video ya Waroma 3:10-12