Muhtasari: Warumi 1-4

Kutoka Kwa BibleProject

Kivinjari hiki hakikubaliani na kipengee cha video.

Neno linalohusiana

Rum 1Rum 2Rum 3Rum 4
Tazama video yetu ya muhtasari wa kitabu cha Warumi 1-4, inayoelezea muundo wa fasihi ya kitabu hicho na mtiririko wake wa mawazo. Katika Warumi, Paulo anaonyesha jinsi Yesu alivyoanzisha familia mpya ya agano ya Abrahamu kupitia kifo chake, kufufuka kwake na kutumwa kwa Roho.