Waroma 1:22-23
Waroma 1:22-23 SRB37
Walipojiwazia kuwa werevu wa kweli, ndipo, walipopumbazika. Wakaugeuza utukufu wa Mungu asiyeoza, wakamfananisha na mfano wa sura ya mtu anayeoza na wa ndege na wa nyama na wa wadudu.