Mateo 6:16-18
Mateo 6:16-18 SRB37
Tena mnapofunga msikunjamane nyuso kama wajanja! Kwani huzirembua nyuso, kusudi watu wawaone, wanavyofunga. Kweli nawaambiani: Wamekwisha upata mshahara wao. Lakini wewe unapofunga jipake kichwa chako mafuta, unawe nao uso wako, kusudi watu wasikuone, ya kama unafunga, ila akuone Baba yako alioko fichoni. Ndipo, Baba yako anayeyaona yanayojificha atakapokulipa.