Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateo 21:21

Mateo 21:21 SRB37

Yesu akajibu akiwaambia: Kweli nawaambiani: Mkimtegemea Mungu pasipo mashaka hamtafanya kama hili tu la huu mkuyu, ila hata mkiuambia mlima huu: Ondoka hapa, ulipo, ujitupe baharini! basi itatendeka.

Soma Mateo 21

Picha ya aya ya Mateo 21:21

Mateo 21:21 - Yesu akajibu akiwaambia: Kweli nawaambiani: Mkimtegemea Mungu pasipo mashaka hamtafanya kama hili tu la huu mkuyu, ila hata mkiuambia mlima huu: Ondoka hapa, ulipo, ujitupe baharini! basi itatendeka.