Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateo 2:12-13

Mateo 2:12-13 SRB37

Nao walipoonywa kwa ndoto, wasimrudie Herode, wakashika njia nyingine, wakaenda kwao.* Hao walipokwisha kwenda zao, malaika wa Bwana akamtokea Yosefu katika ndoto akisema: Inuka, mchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukakae huko, mpaka nitakapokuambia! Kwani Herode atamtafuta mtoto, amwangamize.

Soma Mateo 2