Mateo 2:1-2
Mateo 2:1-2 SRB37
Yesu alipokwisha kuzaliwa Bet-Lehemu wa Uyuda wakati wa mfalme Herode, ndipo, walipofika Yerusalemu wachunguza nyota waliotoka upande wa maawioni kwa jua. Wakasema: Yuko wapi aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayuda? Kwani tumeiona nyota yake katika nchi ya maawioni kwa jua, basi, tumekuja kumwangukia.