Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka MT. 19:39-40

Luka MT. 19:39-40 SWZZB1921

Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika mkutano wakamwambia, Mwalimu, wakemee wanafunzi wako. Akajibu, akasema, Nawaambieni kwamba, wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka MT. 19:39-40