Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 19:39-40

Luka 19:39-40 NENO

Baadhi ya Mafarisayo waliokuwamo miongoni mwa umati ule wa watu wakamwambia, “Mwalimu, waamuru wanafunzi wako wanyamaze.” Yesu akawajibu, “Nawaambia ninyi, kama hawa watanyamaza, mawe yatapaza sauti.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 19:39-40