Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rom 14:17-18

Rom 14:17-18 SCLDC10

Maana ufalme wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu. Anayemtumikia Kristo namna hiyo humpendeza Mungu, na kukubaliwa na watu.

Soma Rom 14

Video ya Rom 14:17-18