Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 9:7

Isaya 9:7 SCLDC10

Utawala wake utastawi daima, amani ya ufalme wake haitakoma. Atachukua wadhifa wa mfalme Daudi na kutawala juu ya ufalme wake; ataustawisha na kuuimarisha, kwa haki na uadilifu, tangu sasa na hata milele. Hayo atayafanya Mwenyezi-Mungu wa majeshi.

Soma Isaya 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 9:7