Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 9:2

Isaya 9:2 SCLDC10

Watu waliotembea gizani wameona mwanga mkubwa. Watu walioishi katika nchi ya giza kuu, sasa mwanga umewaangazia.

Soma Isaya 9

Picha ya aya ya Isaya 9:2

Isaya 9:2 - Watu waliotembea gizani
wameona mwanga mkubwa.
Watu walioishi katika nchi ya giza kuu,
sasa mwanga umewaangazia.