Isaya 9:2
Isaya 9:2 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Watu wanaotembea katika giza wameona nuru kuu, wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.
Shirikisha
Soma Isaya 9Isaya 9:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu waliotembea gizani wameona mwanga mkubwa. Watu walioishi katika nchi ya giza kuu, sasa mwanga umewaangazia.
Shirikisha
Soma Isaya 9Isaya 9:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.
Shirikisha
Soma Isaya 9Isaya 9:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.
Shirikisha
Soma Isaya 9