Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 6:16-17

Waefeso 6:16-17 SCLDC10

Zaidi ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto ya yule Mwovu. Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.

Soma Waefeso 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 6:16-17