Waefeso 6:16-17
Waefeso 6:16-17 Biblia Habari Njema (BHN)
Zaidi ya hayo yote, imani iwe daima kama ngao mikononi mwenu, iwawezeshe kuizima mishale ya moto ya yule Mwovu. Upokeeni wokovu kama kofia yenu ya chuma, na neno la Mungu kama upanga mnaopewa na Roho Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:16-17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu
Shirikisha
Soma Waefeso 6