Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 6:14-15

Waefeso 6:14-15 SCLDC10

Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.

Soma Waefeso 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 6:14-15