Waefeso 6:14-15
Waefeso 6:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, kaeni tayari. Ukweli na uwe kama mkanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani, na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.
Shirikisha
Soma Waefeso 6Waefeso 6:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi simameni, mkiwa mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kama viatu vilivyofungiwa miguuni mwenu muwe tayari kutangaza Injili ya amani
Shirikisha
Soma Waefeso 6