Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 13:2-3

Matendo 13:2-3 SCLDC10

Walipokuwa wanafanya ibada yao kwa Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema: “Niteulieni Barnaba na Saulo kwa ajili ya kazi niliyowaitia.” Basi, baada ya kusali na kufunga zaidi, wakawawekea mikono, wakawaacha waende zao.

Soma Matendo 13

Video ya Matendo 13:2-3