Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 16:24

Mathayo 16:24 TKU

Kisha Yesu akawaambia wafuasi wake, “Ikiwa yeyote miongoni mwenu anataka kuwa mfuasi wangu, ni lazima aache kujiwazia yeye mwenyewe na mahitaji yake. Ni lazima awe radhi kuubeba msalaba aliopewa na kunifuata mimi.

Soma Mathayo 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 16:24