Zaburi 73:11-12
Zaburi 73:11-12 SRUV
Nao husema, Mungu ajuaje? Yako maarifa kwake aliye juu? Fahamu, ndivyo walivyo wasio haki, Na kwa kustarehe sikuzote wamepata mali nyingi.