Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 127:1-3

Zaburi 127:1-3 SRUV

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wanafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye anakesha bure. Kazi yenu ni bure, mnaoamka mapema, Na kukawia kwenda kulala, Na kula chakula cha taabu; Yeye humpa mpenzi wake usingizi. Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.

Soma Zaburi 127

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 127:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha