Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:4-7

Wafilipi 4:4-7 SRUV

Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini. Upole wenu na ujulikane na watu wote. Bwana yuko karibu. Msijisumbue kwa neno lolote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.

Soma Wafilipi 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 4:4-7