Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:12-14

Wafilipi 4:12-14 SRUV

Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yoyote, na katika mambo yoyote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa. Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu. Lakini mlifanya vema, mliposhiriki nami katika dhiki yangu.

Soma Wafilipi 4