Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 16:13-15

Mathayo 16:13-15 SRUV

Basi Yesu akaenda pande za Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake akasema, Watu hunena Mwana wa Adamu kuwa ni nani? Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii. Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani?

Soma Mathayo 16