Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ayubu 36:27-33

Ayubu 36:27-33 SRUV

Maana yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka ukungu wake; Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi. Naam, mtu aweza kuelewa matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake? Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari. Kwani huwahukumu makabila ya watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu. Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga. Mshindo wake hutoa habari zake, Anayewaka hasira juu ya uovu.

Soma Ayubu 36

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ayubu 36:27-33

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha