Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 7:25-26

Yohana 7:25-26 SRUV

Basi baadhi ya watu wa Yerusalemu wakasema, Je! Huyu siye wanayemtafuta ili wamwue? Na kumbe! Anena waziwazi, wala hawamwambii neno! Inawezekana hao wakuu wanajua hakika ya kuwa huyu ndiye Kristo?

Soma Yohana 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 7:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha