Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 42:13-14

Yeremia 42:13-14 SRUV

Lakini mkisema, Hatutaki kukaa katika nchi hii; msiitii sauti ya BWANA, Mungu wenu; mkisema, La! Lakini tutakwenda nchi ya Misri, ambayo hatutaona vita, wala kuisikia sauti ya tarumbeta, wala kuona njaa kwa kukosa chakula; nasi tutakaa huko

Soma Yeremia 42

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 42:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha