Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 33:1-2

Kumbukumbu la Torati 33:1-2 SRUV

Hii ndiyo baraka ya Musa, huyo mtu wa Mungu, aliyowabarikia wana wa Israeli kabla ya kufa kwake. Akasema, BWANA alitoka Sinai, Akawajia kutoka Seiri; Aliangaza katika kilima cha Parani, Akaja Meribath-kadeshi. Upande wa mkono wake wa kulia Palikuwa na sheria ya motomoto kwao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Torati 33:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha