Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wathesalonike 1:1-2

2 Wathesalonike 1:1-2 SRUV

Paulo, Silwano na Timotheo, kwa kanisa la Wathesalonike, lililo katika Mungu Baba yetu, na Bwana Yesu Kristo. Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana Yesu Kristo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wathesalonike 1:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha