Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 6:14-15

2 Wakorintho 6:14-15 SRUV

Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Wakorintho 6:14-15

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha