Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 2:3-5

1 Timotheo 2:3-5 SRUV

Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Timotheo 2:3-5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha