Wim 1:15-16
Wim 1:15-16 SUV
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua. Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani