Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wim 1:12-17

Wim 1:12-17 SUV

Muda mfalme alipoketi juu ya matakia, Nardo yangu ilitoa harufu yake. Mpendwa wangu ni kama mfuko wa manemane Ukilazwa usiku maziwani mwangu. Mpendwa wangu ni kama kishada cha hina, Katika mizabibu huko Engedi. Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua. Tazama, u mzuri, mpendwa wangu, Wapendeza, na kitanda chetu ni majani; Nguzo za nyumba yetu ni mierezi, Na viguzo vyetu ni miberoshi.

Soma Wim 1