Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 8:13-14

Rum 8:13-14 SUV

kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi. Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.

Soma Rum 8

Video ya Rum 8:13-14