Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 6:4-6

Rum 6:4-6 SUV

Basi tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti yake, kusudi kama Kristo alivyofufuka katika wafu kwa njia ya utukufu wa Baba, vivyo hivyo na sisi tuenende katika upya wa uzima. Kwa maana kama mlivyounganika naye katika mfano wa mauti yake, kadhalika mtaunganika kwa mfano wa kufufuka kwake; mkijua neno hili, ya kuwa utu wetu wa kale ulisulibishwa pamoja naye, ili mwili wa dhambi ubatilike, tusitumikie dhambi tena

Soma Rum 6

Video ya Rum 6:4-6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 6:4-6