Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 14:11-12

Rum 14:11-12 SUV

Kwa kuwa imeandikwa, Kama niishivyo, anena Bwana, kila goti litapigwa mbele zangu; Na kila ulimi utamkiri Mungu. Basi ni hivyo, kila mtu miongoni mwetu atatoa habari zake mwenyewe mbele za Mungu.

Soma Rum 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 14:11-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha