Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 12:15-16

Rum 12:15-16 SUV

Furahini pamoja nao wafurahio; lieni pamoja nao waliao. Mpatane nia zenu ninyi kwa ninyi. Msinie yaliyo makuu, lakini mkubali kushughulishwa na mambo manyonge. Msiwe watu wa kujivunia akili.

Soma Rum 12

Video ya Rum 12:15-16