Zab 94:14-15
Zab 94:14-15 SUV
Kwa kuwa BWANA hatawatupa watu wake, Wala hutauacha urithi wake, Maana hukumu itairejea haki, Na wote walio wanyofu wa moyo wataifuata.