Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 91:4-6

Zab 91:4-6 SUV

Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao. Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri

Soma Zab 91